20 Juni 2025 - 02:32
Tizama Wazayuni wakisongamana na kuhangaika katika sehemu ya kujificha ndani ya Tel-Aviv - Hali ni Tete kwao +Video

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Video hii inaonyesha Jinsi Hali ilivyo katika Mji wa Tel-Aviv. Wazayuni wote Wanaishi kwa wahka na mahangaiko hivi sasa, wakisongamana kila mara kuelekea chini ya ardhi kwenye maeneo Maalum ya kujificha wakisikia Makombora hatari ya Iran yako njiani yanakuja. Hii ndio hali aliyowachagulia muovu Netanyahu.

Your Comment

You are replying to: .
captcha